“Naitwa Joy.. naishi Tandale.
Abeeeh! Nina miaka 18,” hiyo ilikuwa ni sauti ya Joy akijibu maswali
aliyoulizwa; akiwa katika moja ya vyumba vya gesti maarufu kwa jina la
Kuyangatana Guest House na mzee mmoja wa makamo aliyeonekana kuvutiwa na
maongezi kwanza kabla ya kufanya ngono.
Joy aliyeonekana hana muda wa
kupoteza alianza kumvua nguo yule mzee, alitaka kumalizana na mteja huyo haraka
na kurudi tena uchochoroni ambapo wenzake walikuwa wamejipanga kusubiri wateja
wengine wa kiume wenye hamu ya kufanya nao mapenzi.
“Kwa nini unafanya biashara hii
wakati wewe ni msichana mzuri ambaye hata naweza kukuoa kabisa,” aliuliza yule
mzee huku akijitahidi kuhakikisha ile tomasatomasa ya Joy inatoa majibu sahihi
ya kusimamisha mlingoti wake ili uvalishwe kinga na kuanza kuchapa kazi.
“Babu mimi sina cha kukujibu,
naomba tufanye tulichokijia!” alijibu Joy kwa ukali na kuendelea
kuutomasatomasa mlingoti wa babu hadi ulipoitika.
Akahakikisha anauvalisha mpira na
kuuingiza korokoroni. hakuwa na haja ya kuzungusha kiuno wala kuvua nguo zake
zaidi ya kupandisha kimini chake hadi juu na kumuachia babu wa watu kiwiliwili
kiasi cha kumuacha akihema hovyo juu ya kifua chake kibichi.
“Nikubalie nikuoe wewe mtoto
mtamu kweli, aaashhhh mmmmhh! ” yalikuwa ni makelele ya mzee wa watu lakini
kutokana na uzoefu wa kazi yake wala Joy hakuhangaika kumjibu lolote yule mzee
zaidi ya kuhesabu dakika kimoyomoyo akikadiria mzee huyo atadondokea dakika ya
ngapi.
Lakini tofauti na wazee wengine
na vijana wengi wa siku hizi, wanaomaliza haja zao ndani ya dakika moja tu,
mzee huyo alihimili mikiki, hakutegemea kama mzee huyo angedumu dakika tano.
Maskini Joy akaanza kuhisi
kufikishwa kileleni na babu, jambo ambalo hakutaka litokee kwa sababu kama
angefika, angeshindwa kuendelea na kazi yake vizuri usiku huo na kushindwa
kujiingizia kipato, kutokana na uchovu utakaomkuta.
Akakumbuka kuwa wazee kama hao
wengi wao hutumia dawa kuwakomesha machangudoa, “Kama kweli ameninywea ‘mngulyati’!”
akajiapiza kimyakimya kuwa atasimama na kumdai mzee huyo amlipe hela yake kwa
kuwa amemdanganya.
Kadri muda ulivyozidi kwenda
ndiyo yule mzee alivyozidi kumkuna Joy. Mara kadhaa akalazimika kuwaza mambo
mengi ili mradi hisia zake zisikubaliane na mawazo yake, kidogo akafanikiwa.
Sasa ilikuwa imefika dakika 9 na
mzee wa watu alionekana hana dalili yoyote ya kufikia kileleni zaidi ya kelele
zake na miguno ambayo Joy alianza kuhisi ni za uwongo.
“Lazima nimfanyie kitu huyu mzee
hanijui,” aliwaza Joy lakini kabla ya kufanya hivyo, akawaza jambo la ujanja.
Akajifanya naye amepandisha mzuka ile mbaya, akaanza kuimkatikia mzee na
kujifanya analalamika balaa.
Mbinu hiyo ikaonekana kufanya
kazi, mzee wa watu akaanza kujikunja akatoa macho kama chura ameona kumbikumbi,
akapiga kelele huku amemshikilia kiuno Joy na mara akaanguka kama mzigo juu ya
kifua cha Joy.
“Mzee amka unipe hela yangu,”
mzee wa watu alionekana amelala kama vile anakata roho, wasiwasi ukaanza
kumuingia Joy akatoka nje haraka kuwaita walinzi wa gesti ile ambao ni wamasai
ili waone yaliyomtokea chumbani kwake.
“kwani ulifanya nini huyu musee,”
aliuliza mmasai mmoja akionekana kuogopa zaidi.
Mzee wa watu alionekana hana
kauli huku mkia wake ulioganda na mpira uliojaa gundi, ukiwa bado unaning’inia
katikati ya miguu yake.
“Wasee wengine wanapresha halafu
wanataka utamu ona sasa. Akitufia tumekwisha” alisema mlinzi mwingine.
Itaendelea .......
USIKOSE KUSOMA HADITHI HII NZURI YA KUSISIMUA, INAYORUSHWA KUPITIA WHATSAPP NO 0653146563 KWA KULIPIA;
HADITHI YA MAANDISHI tSH 100/= NA YA SAUTI NI TSH 250/= KUPITIA NAMBA: TIGOPESA 0653146563,AIRTEL MONEY 0788462368 M- PESA 0765056399
0 comments:
Post a Comment