Warembo wakingoja kuwapokea wageni Baada ya kuwasili kutoka Mikoa mbalimbali Tanzania
Wageni wakiwa wanapokelewa na warembo baada kuwasili
Wakipata Picha baada ya kuwasili
Wageni wakiwa wanawasili white sands kwa ajili ya Tukio hilo
Baadhi ya warembo wakingoja kupokea wageni katika Hotel ya White Sands
Mkurugenzi Mtendaji wa SBC Tanzania Avinash akitoa neno la Shukurani wakati wa sherehe hizo
Mkurugenzi Mtendaji wa SBC Tanzania Avinash wa kwanza kulia akiwa katika Sherehe ya kutoa tuzo za Kampuni hiyo
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya SBC Tanzania wakiwa katika Sherehe hiyo
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya SBC wakipokea Vyeti na Tuzo zao wakati wa Sherehe hizo
Baadhi ya wafanyakazi wa SBC wakiwa wanafurahi baada ya wenzao kushinda Tuzo
Ilikuwa ni Furaha
Washindi wa Milioni Tano
Baadhi ya wafanyakazi wa SBC Dar es salaam wakishangilia ushindi wa kupata Mil. 15,000,000
0 comments:
Post a Comment