Home » » Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aondoka nchini kwenda Uingereza

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aondoka nchini kwenda Uingereza

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

MJWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye uwanja wa ndege wa Julius  Nyerere kabla ya kuondoka kwenda London Uingereza Mai 10 , 2016, kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa  Wakuu wa Nchi wa kujadili masuala ya kupambana na rushwa duniani.
(Picha n Ofisi ya Wziri Mkuu)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa