Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimtangaza Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO)
ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas (kushoto) anayechukuwa
nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Assah Mwambene aliyehamishiwa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya
Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi wa Idara ya
Habari(MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas akieleza
mikakati yake ikiwemo kuongeza mbinu za Mawasiliano kati ya serikali na
wananchi ili kuchochea maendeleo katika kipindi cha serikali ya awamu ya tano.
Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
PICHA NA ABUSHEHE NONDO-MAELEZO
0 comments:
Post a Comment