Home » » MH. MAKAMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI TANZANIA MH. YAHEL VILAN

MH. MAKAMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI TANZANIA MH. YAHEL VILAN


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh. Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba  Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wakijadiliana jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba  Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam. Wengine ni Maafisa toka Wizara ya mambo ya nje waliongozana na Balozi huyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akisoma Nakala za machapisho  alizopatiwa na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh . Yahel Vilan.


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa