| Balozi Mulamula akimkabidhi Naibu Waziri, Mhe. Kolimba mwongozo wa Umoja huo baada ya kuchaguliwa kuwa Mlezi mpya. |
| Sehemu ya Watumishi wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje wakifuatilia kikao. |
| Sehemu nyingine ya Watumishi hao wakifuatilia kikao |
| Dkt. Kolimba akimkabidhi zawadi Balozi Mulamula. |
| Bibi. Mwakawago akimkabidhi Balozi Mulamula zawadi ya picha yake ya kuchorwa. |
| Kikao kikiendelea |
| Picha ya Pamoja ya walezi na uongozi wa Nje Women |
| Picha ya pamoja. |
0 comments:
Post a Comment