Mkurugenzi Mkuu wa
Makumbusho ya Taifa Prof. Audax Mabulla (kushoto) akimkabidhi
Mkurugenzi wa Idara ya habari-MAELEZO Bw. Hasaan Abbasi tuzo ya ushiriki
wa idara hiyo katika kisaidia kutangaza shughuli mbalimbali za
makumbusho na historia nchini.
Home »
» Idara ya Habari -MAELEZO yakabidhiwa tuzo ya utambuzi wa kutangaza shughuli mbalimbali za makumbusho na historia nchini.
0 comments:
Post a Comment