Mwananchi ambaye jina lake halikupatikana mara moja (kushoto) akiongea kwa shida na alisema tiketi alikuwa nayo halali na huku akibubujikwa na machozi akidai kupikwa kirungu na mmoja wa askari waliokuwa Uwanja wa Uhuru wakati Timu ya Simba na Azam FC zilipokuwa zikichuana ambapo Simba iliichapa Azam bao 1-0 Dar es Salaam jana
Wachezaji wa Timu ya Simba wakimkumbuka marehemu Mafisango baada ya kuichapa bao timu ya Azam FC
Manara akiwashukuru wapenzi wa Timu hiyo baada ya mchezo kumalizika na Simba kuichapa bao 1-0
0 comments:
Post a Comment