Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » UBA BANK YAWASAKA WADAIWA WAKE

UBA BANK YAWASAKA WADAIWA WAKE

“United Bank for Africa (Tanzania) Limited inapenda kuutaarifu umma kwamba mahakama kuu kitengo cha biashara imeamuru kukamatwa kwa Bw. ABDALLAH TWAIB SONGORO wa GREAT AFRICA LTD kwa kutolipa deni kama ilivyobainishwa katika “Warrant of Arrest” ya kesi namba 168/2013 iliyotolewa tarehe 25th September 2016. Tunaomba yeyote anayejua taarifa zake awasiliane na benki kwa namba……… Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano
Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano
Bw. PATRICK NGOWI wa HELVETIC SOLAR CONTRACTORS LTD kwa kutolipa deni kama ilivyobainishwa katika “Warrant of Arrest” ya kesi namba 81/2013 iliyotolewa tarehe 25th September 2016. Tunaomba yeyote anayejua taarifa zake awasiliane na benki kwa namba………”
Imetolewa na kitengo cha mawasiliano United Bank for Africa (Tanzania) Limited

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa