Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » UME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAWAOMBA WANANCHI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO ELIMU YA MPIGA KURA

UME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAWAOMBA WANANCHI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO ELIMU YA MPIGA KURA

Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi (Nec) inaendelea kutekeleza mkakati Wa Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura Kwa Wananchi Ili Kuimarisha Demokrasia Nchini.

Mwenyekiti Wa Tume Hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva Anatoa Wito Kwa Wananchi Kuendelean Kutoa Ushirikiano Wao Kwa Nec Ili Kufanikisha Mkakati Huo.

Kwa Upande Wake Mkurugenzi Wa Uchaguzi Wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Anatoa Wito Kwa Wananchi Ili Kuhakikisha Elimu Ya Mpiga Kura Inamfikia Mlengwa.

Mkakati Wa Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura Ni Utekelezaji Wa Kifungu Cha 4 (C) Cha Sheria Ya Uchaguzi Ya Mwaka 1985 Inayoitaka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kutoa Elimu Hiyo, Kusimamia Na Kuratibu Asasi Na Taasisi Zinazotaka Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa