Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwada cha Twiga kinacho zalisha Cemet cha Wazo hapa Jijini Dar es Salaam, Alfonso Velez (wapili kulia) akishikana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi kwa lengo la kumkabidhia Tani 30 ya mifuko ya Cement kwa ajili ya matumizi ya Shule ya Msingi ya Ali Hapi iliyopo Bunju 'A' kwa matumizi mbalimbali ya shule hiyo na ikiwemo kujengea Maktaba ya Kisasa.
Baadhi ya wanafunzi wanao tarajia kuanza masomo yao mwakani wakiimba Wimbo wa Shule
| Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi akiumwagilia maji mti mara baada ya kuupanda katika Shule hiyo ya Ali Hapi iloyopo Bunju 'A' |
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi, (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda kinacho zalisha Cement cha Twiga kabla ya makabidhiano ya Tani 30 ya mifuko Cement kwa ajili ya Matumizi mbalimabli ya Shule ya Msingi ya Ali Hapi Iliyopo Bunju 'A' , ambapo inatarajiwa kujenga Maktaba ya kisasa kwa ajili ya watu mbalimbali na wakiwemo wanafunzi kufika kujisomea na wanatarajia kuweka vifaa vya kisasa, na vitu muhimu vinavyoibeba Historia ya Nchi yetu na historia ya Kinondoni itakuwa hapo katika maktaba hiyo, aliendelea Hapi kwa kusema , kwa sasa tunaendelea kukamilisha mchoro na Mkurugezi wa kiwanda cha Twiga Cement anaendelea kutupa ushirikiano kwa utayari wa kuijenga Maktaba kubwa ya kisasa ambayo itakuwa ya mfano, Hapi aliendelea kusema mara baada ya kukabidhiwa Tani hizo 30 akiwaomba watendaji wote wasijihusishe kufanaya ubadilifu wowote, na akasisitiza, kama Serikali ya Wilaya tutawapa msaada kila wanapo hitaji ili waendelee kuzalisha vizuri katika kiwanda chaoambacho kinasaidia katika ukuzaji wa uchumi wa Nchi yetuna nimezungumza mapema juu ya changamoto kadhaa zinazo wakabiri katika kiwanda chao na ninawaahidi kuwasaidia kwa ajili ya kuhakikisha mambo yanakwenda vizuri, kaziyetu kama Serikali nikutowa ushirikiano na kuhakikisha mambo yanakwenda vizuri
Baada ya makabidhiano ya Tani 30 za Cement wakipiga makofi kwa kufurahia jambo
Mkuu wa Wilaya Ali Hapi (walipi kulia waliyo inama) akipanda mti aridhini akishitikana na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Ali Hapi, Ally Mwakapal
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi (kushoto walio kaa) akizungumza jambo na viongozi mbalimbali jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi (kushoto) akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Ali Hapi, Ally Mwakapalila kifaa cha kutunzia taka ambapo mwalimu huyo awali alikuwa Shule ya Msingi Boko akiwa ni Mwalimu wa Taaluma pia alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Darasa la Saba, wakatikati anye shuhudia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Kilungule Kata ya Buju, Sif Stambuli (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
0 comments:
Post a Comment