Home » » RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI MHE YASEMIN ERALP

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI MHE YASEMIN ERALP

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yasemin  Eralp walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 20176.Wengine kutoka kushoto ni Balozi zuhura Bundala, Balozi Joseph Sokoine na Bw. Hassan Mwamweta wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa.

PICHA NA IKULU

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa