Home » » WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA VIONGOZI WANAWAKE WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TUCTA.

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA VIONGOZI WANAWAKE WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TUCTA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza jambo wakati wa Mkutano na Viongozi wanawake wa Vyama vya wafanyakazi TUCTA walipokutana katika Ofisi zao Dar es Salaam tarehe 19 Desemba, 2016.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa