Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » TAMWA yaendeleza mafunzo kwa waandishi wa habari za usalama barabarani

TAMWA yaendeleza mafunzo kwa waandishi wa habari za usalama barabarani

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mkufunzi na mtaalamu wa masuala ya usalama barabarani kutoka Safe Speed Foundation, Henry Bantu akitoa mada kwa waandishi wa habari wanaohudhuria mafunzo ya uandishi wa habari za usalama barabarani yanayoendeshwa na TAMWA. Mkufunzi na mtaalamu wa masuala ya usalama barabarani kutoka Safe Speed Foundation, Henry Bantu akitoa mada kwa waandishi wa habari wanaohudhuria mafunzo ya uandishi wa habari za usalama barabarani yanayoendeshwa na TAMWA.Baadhi ya waandishi wa habari wanaoshiriki uandishi wa habari za usalama barabarani wakiwa katika mafunzo hayo. Baadhi ya waandishi wa habari wanaoshiriki uandishi wa habari za usalama barabarani wakiwa katika mafunzo hayo.Mkufunzi na mtaalamu wa masuala ya usalama barabarani kutoka Safe Speed Foundation, Henry Bantu akisisitiza jambo katika mafunzo hayo. Kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo hayo, Valerie Msoka. Mkufunzi na mtaalamu wa masuala ya usalama barabarani kutoka Safe Speed Foundation, Henry Bantu akisisitiza jambo katika mafunzo hayo. Kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo hayo, Valerie Msoka.Ofisa Miradi Mkuu wa TAMWA, Bi. Gradness Munuo (kushoto) akiwasilisha mada kwa washiriki wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani. Kulia ni Ofisa Mradi wa TAMWA, Bw. Edson Sosten. Ofisa Miradi Mkuu wa TAMWA, Bi. Gradness Munuo (kushoto) akiwasilisha mada kwa washiriki wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani. Kulia ni Ofisa Mradi wa TAMWA, Bw. Edson Sosten.Baadhi ya waandishi wa habari wanaoshiriki uandishi wa habari za usalama barabarani wakiwa katika mafunzo hayo. Baadhi ya waandishi wa habari wanaoshiriki uandishi wa habari za usalama barabarani wakiwa katika mafunzo hayo.Mafunzo hayo ya uandishi wa habari za usalama barabarani kwa waandishi wa habari yakiendelea. Mafunzo hayo ya uandishi wa habari za usalama barabarani kwa waandishi wa habari yakiendelea.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa