Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Mbio za Tigo Kili Half Marathon zafana mjini Moshi

Mbio za Tigo Kili Half Marathon zafana mjini Moshi

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Sehemu ya kuanzia ya Tigo half Kilimarathon yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro.
Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro
Washiriki wa Kilimarathon wakipewa maji kwenye kwa ajili ya kuchangamsha miili yao.
Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro
Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaaskazini, George Lugata akitoa neno la shukrani kwa washiriki wa Kilimarathon na wananchi waliojitokeza kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadick akimpa tuzo mshiriki wa Tigo half Kilimaratho mwenye miaka 90, Joram Zacharia Mollel baada ya kumaliza  mbio hizo za kilomita 21

Mshiriki wa Tigo half Kilimaratho mwenye miaka 90, Joram Zacharia Mollel baada ya kumaliza  mbio hizo za kilomita 21, Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini


Washindi wa riadha ya kilomita 21 iliyofadhiriwa na Tigo kwenye Kilimarathon wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa