Home »
» RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA NYUMBANI KWAKE UPANGA JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 18,2017
RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA NYUMBANI KWAKE UPANGA JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 18,2017
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya nyumbani kwake Upanga jijini
Dar es Salaam alipokwenda kumjulia hali, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa
Msuya alikuwa ametoka hospitalini alipokuwa amelazwa mara baada ya hali
yake kuwa nzuri na kuruhusiwa na kurejea nyumbani Februari 18,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuombea
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
nyumbani kwake jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya mara baada ya kumjulia hali nyumbani
kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya akimsindikiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alifika nyumbani kwake kumjulia
hali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya mara baada ya kumjulia hali nyumbani
kwake Upanga jijini Dar es Salaam.
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment