Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir yawatuza wanafunzi waliofa vizuri

Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir yawatuza wanafunzi waliofa vizuri

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
kha1
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile (kulia)akisalimiananaMkuu wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir ShaimunaChandro wakati alipowasilishulenihapo kwenye Sherehe ya KuwazawadiaWanafunziwashule hiyo waliofanyavizuri katika mitihani yaoleojijini Dar es Salaam.Katikati ni NaibuMkuu wa shule hiyo Bi. ZaiAbdi.
kha2
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswileakizungumzana Afisa MtendajiMkuu wa shule hiyo Bw. MahmoodLadak.
kha3
MkuuwaShule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir ShaimunaChandroakitoaneno la ukaribisho.
kha4
Mwanafunzi Ali AskherWaljiakifurahiazawadikutoka kwaMgeniRasmi, Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswilebaada ya kufanya vizuri katika Mitihaniya Taifa ya Daraja la 7ya mwaka 2016.
kha5
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile, akiwa kwenye picha ya pamoja nawanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazirwaliofanya katika Mitihani ya Taifa ya Daraja la 7 ya mwaka 2016.
kha6
Dokta Faraji Lydenge kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbiliakiwa kwenye picha ya pamoja nawanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazirwaliofanya katika mitihani ya Taifa yadaraja la 4 ya mwaka 2016
kha7
  1. Afisa MtendajiMkuuwaShuleya Msingi ya Wavulana ya AlmuntazirBw. MahmoodLadakakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazirwaliofanya katika Mitihani ya Taifa ya Daraja la 3ya mwaka 2016.
kha9
Sheikh Ali Azim Shiraz akimbusummojawawanafunzi wa daraja la awali wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir, baada ya kumpatiazawadi.
kha10 kha11 kha12 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa