Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » YANGA YAPATA MAPOKEZI MAKUBWA DAR

YANGA YAPATA MAPOKEZI MAKUBWA DAR

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mashabiki wa Yanga wakiwalaki wachezaji wa timu hiyo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wakitokea Comoro ambako mwishoni mwa wiki walicheza mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya FC na kushinda mabao 5-1.
Mashabiki wa Yanga wakiwalaki wachezaji wa timu hiyo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wakitokea Comoro ambako mwishoni mwa wiki walicheza mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya FC. 
Mashabiki wa Yanga wakiwalaki wachezaji wa timu hiyo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wakitokea Comoro ambako mwishoni mwa wiki walicheza mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya FC. 
Wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam jana, wakitokea Comoro ambako mwishoni mwa wiki walicheza mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya FC. 
 Wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam jana, wakitokea Comoro ambako mwishoni mwa wiki walicheza mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Ngaya FC. (Picha na Francis Dande).
 Viongozi wakiwasili leo.
 Michuzi media grp

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa