Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » KATIBU MKUU IKULU MPYA ALPHAYO KIDATA AANZA KAZI RASMI LEO

KATIBU MKUU IKULU MPYA ALPHAYO KIDATA AANZA KAZI RASMI LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akisaini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake kuanza kazi rasmi leo. Pamoja naye ni Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo ambaye alimkabidhi rasmi ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017

 Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akilakiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo alipofika kukabidhiwa ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017PICHA NA IKULU

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa