Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Tigo waungana na Tecno kuzindua simu mpya ya Tecno Camon CX

Tigo waungana na Tecno kuzindua simu mpya ya Tecno Camon CX

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Meneja mawasiliano Tigo, Woinde Shisael akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon CX mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.
Meneja mkuu wa Tecno Tanzania Daniel Xu akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon Cx mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.Mkuu wa kitengo cha masoko Tigo, Olivier Prentout akipiga picha(selfie photo) na wakaribisha wageni wa hafla hiyo(ushers)
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael na Mkuu wa Idara ya uendeshaji wa Tecno, Anuj Khosla wakipiga  picha ya pamoja kuashiria uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon CX mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.

Mkuu wa kitengo cha masoko Tigo, Olivier Prentout akipiga picha(selfie photo) na wakaribisha wageni wa hafla hiyo(ushers)
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael na Mkuu wa Idara ya uendeshaji wa Tecno, Anuj Khosla wakipiga  picha ya pamoja kuashiria uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon CX mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.

Selfie zikiendelea ukumbini mara baada ya uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon CxMeneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akipiga Selfie na wadau  mara ya uzinduzi wa Simu hiyo mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo, Tecno na wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi huo mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa