Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MAKINDA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA KUJADILI MAENDELEO YA TANZANIA NA KOREA

MAKINDA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA KUJADILI MAENDELEO YA TANZANIA NA KOREA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Pichani ni Spika Mstaafu, Anne Makinda. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Spika  Mstaafu, Anne Makinda (kulia) akiingia Ukumbini na kushoto ni Rais na mwanzilishi wa Chingu Kota
 Spika  Mstaafu, Anne Makinda (wa pili kulia) akizungumza wakati wa Mkutano wa kujadili utamaduni wa Korea Kusini na nchi zingine za Asia uliowahusisha wanafunzi wa vyuo vikuu Jijini Dar ea Salaam mei 25, 2017. Wapili kushoto ni Profesa, Geofrey Calimag kutoka Korea, kulia ni Rais na  Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Chingu  Kota, Andrew  Bukuku na kushoto ni Mweka hazina wa Taasisi hiyo, Pamela Bukuku 

 Rais na  Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Chingu  Kota, Andrew  Bukuku (kulia) akizungumza  wakati wa Mkutano wa kujadili utamaduni wa Korea Kusini na nchi zingine za Asia uliowahusisha wanafunzi wa vyuo vikuu Jijini Dar ea Salaam mei 25, 2017.kuanzia kusho ni  Profesa, Geofrey Calimag kutoka Korea na Spika  Mstaafu, Anne Makinda

  Rais na  Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Chingu  Kota, Andrew  Bukuku katika picha ya pamoja na wageni wake wa ndani na kutoka Korea Kusini na China

 Profesa, Geofrey Calimag (wa pili kushoto) akizungumza katika Mkutano huo, kuanzia kulia ni Rais na  Mwanzilishi wa Taasisi hiyo isiyo ya Kiserikali ya Chingu  Kota, Andrew  Bukuku, Spika  Mstaafu, Anne Makinda na Mweka hazina wa Taasisi hiyo, Pamela Bukuku

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa