Serikali Mtandao inarahisisha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma. Usikose kuangalia kipindi hiki cha Seikali Mtandao katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) uone jinsi wanavyotumia mifumo mbalimbali ya TEHAMA katika kazi zao za kila siku.
Home »
» Mamlaka ya Mapato ya Tanzania yatumia Tehama kuboresha utoaji wa huduma zake kwa umma
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania yatumia Tehama kuboresha utoaji wa huduma zake kwa umma
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment