Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na Kaimu Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam (DCP) Lucas Mkondya, alipowasili nchini
akitokea nchini Rwanda kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kubadilishana uzoefu
pamoja na kujadiliana juu ya njia za kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka,
usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akisalimiana na baadhi ya maofisa
wa Jeshi hilo, waliofika kumpokea alipowasili kutoka nchini Rwanda alipokwenda
kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kubadilishana uzoefu pamoja na kujadiliana
juu ya njia za kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu
na biashara ya dawa za kulevya.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro (watano kulia) na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda,
Emmanuel Gassana(wanne kulia), wakiwa katika picha ya na Maofisa wa Jeshi la
Polisi Nchini Rwanda, baada ya kumaliza kikao kazi. Picha na Jeshi la Polisi
0 comments:
Post a Comment