Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji
Mama Mary Mdachi, mjane wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki
Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam
alikokuwa akipatiwa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
saini kwenye kitabu cha maombolezo ya msiba wa Dkt. Stephen Juma Mdachi
aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini
Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa
pole wana familia wa Marehemu Dkt. Stephen Juma Mdachi aliyefariki
Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam
alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu ambaye alikuwa ni mhadhiri wa
Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo cha Uhandisi katikla idara ya Kemia,
ameacha mjane na watoto watatu.
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment