Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Naibu
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Bi. Susan Mlawi (wa kwanza kulia), akimpokea Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu)
Mhe. George Mkuchika (Mb) mapema leo kabla ya kuongea na watumishi wa
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, jijini Dar es
salam.Wengine katika picha ni watendaji wa Sekretarieti ya Ajira.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisaini kitabu cha
wageni katika ofisi za Sekretareti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,
kabla ya kuongea na watumishi na watendaji wa Sekretarieti hiyo jijini
Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa majukumu na utatuzi wa changamoto
zilizopo.
Naibu
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Bi. Susan Mlawi akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe.
George Mkuchika (Mb) kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira
katika Utumishi (hawapo pichani).
Katibu
wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi
akifanunua hoja alizoulizwa kuhusu utendaji wa taasisi anayoiongoza
mapema leo.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiongea na watumishi wa
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (hawapo pichani) mapema
leo jijini Dar es salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Dkt. Henry Mambo akitoa
maelezo kuhusu mafanikio na changamoto za TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.
(Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb).
Watendaji
wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) wakiwa katika kikao na Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) leo jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu
kwa vyombo vya habari kuhusu umuhimu wa vikao kazi na taasisi
anazoziongoza, mapema leo jijini Dar es salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt. Henry Mambo
(kushoto) akikabidhi ripoti ya mafanikio na changamoto kuhusu TPSC kwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) leo jijini Dar
es salaam
Mtumishi
wa TPSC akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe.
George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika leo jijini Dar es
salaam
Mtumishi
wa TPSC akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe.
George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika leo jijini Dar es
salaam.
0 comments:
Post a Comment