Home » » MAAFISA UUGUZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPIGWA MSASA JINSI YA KUMPIMA MGONJWA UMEME WA MOYO (ECG)

MAAFISA UUGUZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPIGWA MSASA JINSI YA KUMPIMA MGONJWA UMEME WA MOYO (ECG)

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  

 Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pal Bhadreshwara akionyesha namna  ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram - ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia.
 Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijadili namna  ya kumpima  mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram - ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia.
  Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Huduma ya Uuguzi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akiwaonyesha wauguzi jinsi   ya kumpima  mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram-ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia.
 Afisa Uuguzi kutoka  Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia Kiasha Munnis akifundisha jinsia   ya kumpima  mgonjwa umeme wa moyo (ECG) kwa wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na wauguzi hao.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa