Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MHARIRI MTENDAJI WA TSN AFURAHISHWA NA JARIDA LA NCHI YETU

MHARIRI MTENDAJI WA TSN AFURAHISHWA NA JARIDA LA NCHI YETU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi nakala ya Jarida la Nchi Yetu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz alipotembelea Ofisi za Idara hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Jarida hilo nit oleo maalum la mwezi Novemba ambalo limeangazia miaka miwili ya uongozi wa Rais Dkt, John Pombe Magufuli.Picha na: MAELEZO

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa