Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii
Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es
salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha
maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka
wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Mwanamuziki
Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis
Nguza na Nguza Mbangu walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo
January 2, 2018 kumshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwapa
msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha
walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" ambaye pamoja na wanae Johnson
Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu
jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha
wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa
wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Johnson Nguza "Papii Kocha' walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam
leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha
Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe
miaka 13 iliyopita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa
kashikana mikono huku wakiomba dua na mwanamuziki Nguza Viking "Babu
Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza
Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018
kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae
Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Mwanamuziki
Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis
Nguza na Nguza Mbangu wakiondoka Ikulu jijini Dar es salaam leo January
2, 2018 baada ya kumuona na kumshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli
kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha
walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
Johnson
Nguza "Papii Kocha' akionesha tatoo ya "JPM" aliyojichora mkononi
walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru
kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha
walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.
0 comments:
Post a Comment