Mgeni
rasmi Mh. Dkt Tulia Ackson akinadi korosho katika harambee yauchangiaji wa
ujenzi wa hospital yawila ya namtumbo iliyofanyika jijini Dar es salaam
Mgeni
rasmi Mh Dkt Tulia Ackson na baadhi ya viongozi wakitazama makala fupi ya Ujenzi
wa Hospitali hiyo ilipoanza na baadhi yamajengo ya hospitali hiyo ya Wilaya ya Namtumbo
Mkurugenzi
mtendaji wa Kampuni ya Mantra Bw. Fredy Kibodya akielezea jambo kwa mgeni rasmi katika
harambee ya uchangiaji wa Hospitali ya Wilaya ya Namtumbo
Mgeni rasmi
Mh Dkt Tulia Ackson akikabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya shilingi millioni nane kuchangia ujenzi wa hospital ya Wilaya ya Namtumbo
Mkuu wa wilaya ya namtumbo Bi. Luckness Alima akilia
kwa furaha baada ya kuchangiwa sehemu ya fedha kwa ajiri ya ujenzi wa Hospitali hiyo.
0 comments:
Post a Comment