Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco Dkt. Alexander Kyaruzi    
alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll 
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akisalimiana na    Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito 
Mwinuka alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa 
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018  
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akisalimiana na mwakilishi wa Balozi wa Japani nchini  Bw. Hiroyuki 
alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll 
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Segerea Mhe. Bonna Kaluwa alipowasili
 kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la 
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati Mhe. 
Dunstan Kitandula  alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 
wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 
2018 
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akipata maelezo toka kwa Waziri wa Nishati Dkt. Menard kalemani  kabla 
ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la 
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akipata maelezo toka kwa    Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito 
Mwinuka  kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi 
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018  
 
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akipata maelezo toka kwa Meneja Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania 
(Tanesco), Mhandisi Steven Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha 
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo 
Aprili 3, 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na 
Waziri wa Nishati Dkt. Menard Kalemani  na Naibu Waziri wa Wizara hiyo 
Mhe. Stanlaus Nyongo akitembezwa kukagua  mradi wa kuzalisha umeme MW 
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
 2018 
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akipata maelezo toka kwa Meneja Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania 
(Tanesco), Mhandisi Steven Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha 
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo 
Aprili 3, 2018 
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la 
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua 
mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini
 Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibofya 
kitufe kuashiria kuzindua  rasmi mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa 
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Bila
 kujali mvua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe 
Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi waliojitokeza kushuhudia 
akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la 
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
 wengine meza kuu wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa 
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es 
salaam leo Aprili 3, 2018 
 Viongozi 
 na wadau wengine wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa 

 na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha 
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo 
Aprili 3, 2018 
 Wananchi
 wakijumuika katika sherehe za  kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240
 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 
2018 
 Wananchi
 wakijumuika katika sherehe za  kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240
 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 
2018 

 Wananchi
 wakijumuika na wafanyakazi wa TANESCO katika sherehe za  kuzindua mradi
 wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar 
es salaam leo Aprili 3, 2018 

 Viongozi  na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa 
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es 
salaam leo Aprili 3, 2018 
 
 Viongozi  na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa 
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es 
salaam leo Aprili 3, 2018 
 
 Viongozi  na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa 
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es 
salaam leo Aprili 3, 2018 
 
 Viongozi  na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa 
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es 
salaam leo Aprili 3, 2018 
Burudani
 katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
 ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akikaribisha wageni wake  
katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi 
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Mwenyekiti
 wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Mama Kate kamba akisalimia katika 
sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo
 la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Sehemu
 ya wanahabari katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
 2018 
 Katibui
 Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. hamisi Mwinyimvua akitambulisha wageni 
katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi 
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Mama
 Janeth Magufuli akitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa 
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es 
salaam leo Aprili 3, 2018 
 Makatibu
 Wakuu wakitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha 
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo 
Aprili 3, 2018 
 Mwenyekiti
 wa Kamati ya Bunge Kudumu ya  Nishati Mhe. Dunstan Kitandula 
akitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
 2018 
 Wabunge
 wa mkoa wa Dar es salaam katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha 
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo 
Aprili 3, 2018 
  Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
 mwakilishi wa Balozi wa Japan  Bw. Hiroyuki Kubota kwa hotuba yake kwa 
Kiswahili fasaha katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia
 katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
 ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na meza 
kuu akipiga makofi katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme 
MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili
 3, 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akifurahia
 wimbo katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa 
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akifurahia
 wimbo katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa 
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akifurahia
 wimbo katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa 
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiaga 
baada ya sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa 
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 
 
0 comments:
Post a Comment