Home » » Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mahafali ya Chuo hicho, Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024.


 

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa