Home » » CHAMA CHA ADC HATIMAYE CHAPATA USAJILI WA MUDA.

CHAMA CHA ADC HATIMAYE CHAPATA USAJILI WA MUDA.


Msafara wa wafuasi wa Chama Alliance Democratic Change -Dira ya mabadiliko (ADC) ukielekea kwenye Ofisi za Msajili wa vyama kupokea cheti cha muda cha usajili wa chama hicho.
Msajili wa vyama vya siasi nchini Bw. John Tendwa akikabidhi cheti cha usajili wa muda kwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ADC Bw.  Said Miraji.
Wafuasi wa Chama hicho wakisubiri nje ya ofisi za msajili wa vyama vya siasa.
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ADC Bw. Said Miraji akionyesha cheti cha usajili kwa waandishi wa habari na wafuasi wa chama hicho.
Wafuasi wakimbeba kwa shangwe Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho.
Msafara wa Ukielekea Buguruni kufungua tawi la ofisi za Chama hicho.

Sasa tumezindua rasmi.
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ADC Bw. Said Miraji akipandishi bendera ya Chama hicho kwenye Makao Makuu ya Ofisi hizo Buguruni sokoni jijini Dar es Salaam.
Picha kwa hisani ya Mo Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa