Na Mwandishi wetu
Wasanii wameliomba Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA)kuunda kamati itakayo weza kufuatilia kazi za naa kuanzia ngazi za mitaa ilikupunguza ukiukwaji wa maadili uliojitokeza
Hayo yamezungumzwa katika jukwaa la sanaa ambapo mada iliyojadiliwa ilikuwa ni UNENGUAJI NA UVAAJI WA MALEBA (Nguo zinazo valiwa na msanii wakati wa uwasilishaji wa sanaa)KWA WASANII WA TANZANIA
Akitoa ufafanuzi juu ya jambo hilo mwanamuziki mkongwe Bwana Juma Ubao amesema kuwa haya yametokana na muingiliano wa sanaa toka nje ya nchi.
Pia Mtendaji mkuu wa Baraza la Sanaa Lataifa Bwana(......)ameagiza vyama na mitandao ya sanaa kukemea ukiukwaji wa maadili wakati wa maonesho mbalimnali
Agizo hilo limetolewa wakati wa majadiliano ya jinsi ya kuirudisha sanaa ya Tanzania katika maadili yanayo faa
wakitolea mifano baadhi ya vikundi vya sanaa hapa nchini baadhi yao wamekiri kwamba wasanii nichanzo kikubwa cha ukiukwaji wa maadili ya ki Tanzania kwa kutumia MALEBA yasiyo faa wawapo jukwaani
Mwisho wasanii wameiomba BASATA kuandaa semina itakayo husisha Mtendaji mkuu wa Baraza la Sanaa Lataifa ameagiza vyama na mitandao ya sanaa kukemea ukiukwaji wa maadili wakati wa maonesho mbalimnali
Agizo hilo limetolewa wakati wa majadiliano ya jinsi ya kuirudisha sanaa ya Tanzania katika maadili yanayo faa
wakitolea mifano baadhi ya vikundi vya sanaa hapa nchini baadhi yao wamekiri kwamba wasanii nichanzo kikubwa cha ukiukwaji wa maadili ya ki Tanzania kwa kutumia MALEBA yasiyo faa wawapo jukwaani
Mwisho wasanii wameiomba BASATA kuandaa semina itakayo husisha
0 comments:
Post a Comment