Home » » EVANS BUKUKU LIVE COMEDY SHOW ILIVYO KUWA JIJINI DAR ES SALAAM

EVANS BUKUKU LIVE COMEDY SHOW ILIVYO KUWA JIJINI DAR ES SALAAM



 Msanii wa muziki Carolla Kinasha ndiye aliyekuwa ni mshereheshaji katika Evans Bukuku Live Comedy Show iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
 Mshereheshaji Mahiri wa Evans Bukuku Live Comedy Show, Taji Liundi akifafanua jambo kwa Msanii wa muziki Carolla Kinasha ambaye alianza kuwa mshereheshaji katika Evans Bukuku Live Comedy Show iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
Mshereheshaji Mahiri wa Evans Bukuku Live Comedy Show, Taji Liundiakitoa moja ya salamu inayotumiwa na vyama.
 


 Wageni waliohudhuria katika Evans Bukuku Live Comedy Show wakivunjika mbavu kwa vicheko.
 Mmoja ya wachekeshaji mahili katika kundi la Evans Bukuku Live Comedy, Dogo Pepe akionyesha manjonjo yake.

Kwa picha na Tukio zaidi ingia hapa Habari na matukio blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa