Muda Mchache baada ya Ajali hiyo kutokea maeneo ya Sayansi
Gari la kutengenezea bara bara likiwa limegonga gari dogo
Askari wa usalama wa barra barani akipima ajali hiyo muda huu
Mmmoja wa watengenezaji wa bara bara hiyo akitazama jinsi gari hilo kubwa lilivyo gonga gari dogo
Hii ndio Bara bara maeneo ya Sayansi ambayo inafanyiwa marekebisho
Picha zote na Ripota wetu Jackson Jamuhuri ambae yupo eneo la tukio muda huu





0 comments:
Post a Comment