Home » » Rais Jakaya Kikwete Awaapisha Wakuu Wapya Wa Mikoa Ya Simiyu, Katavi, Njombe na Geita Ikulu Jijini Dares Salaam

Rais Jakaya Kikwete Awaapisha Wakuu Wapya Wa Mikoa Ya Simiyu, Katavi, Njombe na Geita Ikulu Jijini Dares Salaam

 Rais Kikwete akimwapisha Mh Magalula Saidi Magalula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita
Rais Kikwete akimwapisha Dkt Rajab Mtumwa Rutengwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi
 Rais akimwapisha Kapt. Paschal Kulwa Mabiti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Kapt Asery Msangi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika sherehe zilizofanyika leo asubuhi Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda na wakuu wa Mikoa ya Simiyu, Katavi, Njombe na Geita.
Picha na IKULU


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa