Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokeazawadi kutoka kwa Balozi wa Saudianchini Tanzania, Hani Abdullah Mo’minah, wakati alipomtembelea ofisini kwakeIkulu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya mazungumzo.
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Balozi wa Vatcan nchini Tanzania, Francisco Montecillo, wakatialipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo, kwa ajiliya mazungumzo.
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Ali Davutoglu, wakatialipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo, kwa ajiliya mazungumzo.
Picha na Sufian Muhidin V.P.O
Picha na Sufian Muhidin V.P.O
0 comments:
Post a Comment