Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(kulia) akimkaribisha Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao (wa pili kutoka kushoto) leo jioni alipowasili nchini kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kuimarisha ushirikiano wa Nchi mbili hizo. Naibu Waziri huyo yupo nchini kikazi ambapo atapata fursa ya kukutana na viongozi mbalimbali ikiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Kulia ni Balozi wa China nchini Lu Youqing.
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(kushoto) akibadlishana na Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao (kulia) leo jioni alipofika kwa ajili ya kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Naibu Waziri huyo yupo nchini kikazi ambapo atapata fursa ya kukutana na viongozi mbalimbali ikiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(kushoto) akibadlishana na Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao (katikati) leo jioni alipofika kwa ajili ya kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Naibu Waziri huyo yupo nchini kikazi ambapo atapata fursa ya kukutana na viongozi mbalimbali ikiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Kulia ni Balozi wa China nchini Lu Youqing.
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam
0 comments:
Post a Comment