Home » » Tukio zaidi la Dkt Harrison Mwakyembe alipo aripoti kazini leo

Tukio zaidi la Dkt Harrison Mwakyembe alipo aripoti kazini leo



 Wanahabari wakimsubiri Naibu Waziri wa Ujenzi Dkt Harrison Mwakyembe alipoti kazini kwake mtaa wa Samora Avenue jijini Dar es salaam baada ya kupata nafuu kutokana na maradhi ya ngozi yaliyomkuba miezi kadhaa iliyopita
 Dkt Mwakyembe akiwasili kazini leo
 Dkt Mwakyembe akiingia ofisini kwake
 anawsili ofisini
Dkt Mwakyembe akiongea na wanahabari baada ya kuripoti kazini. Amewasihi kuwa mjadala wa matatizo yake ya kiafya sasa umefungwa
Picha na Michuzi Blog 

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa