Home » » JAJI MSUYA AFIWA NA MWANAYE

JAJI MSUYA AFIWA NA MWANAYE



Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akimpa mkono wa pole Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Jaji Upendo H. Msuya aliyefiwa na mwanaye aliyekuwa nchini Malaysia, mwili wa marehemu William H. Msuya unatarajiwa kupokelewa leo Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa saa saba mchana kwa ajili ya mazishi, wa pili kutoka kulia ni Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu na Majaji wa Mahakama ya Rufani (T) 
(picha na Mary Gwera, MAHAKAMA YA TANZANIA)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa