Home » » MUKAMA AKANUSHA KUHUSIKA NA KASHAFA YA MRADI WA MACHINJIO YA KISASA JIJINI DAR.

MUKAMA AKANUSHA KUHUSIKA NA KASHAFA YA MRADI WA MACHINJIO YA KISASA JIJINI DAR.




 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo kukanusha kuhusika na kashfa ya mradi wa machinjio ya kisasa jijini Dar es Salaam, Kama ilivyoripotiwa na gazeti moja la kila siku.
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akifafanua jambo katika mkutano huo na Waandishi wa habari.
Kwa Hisani ya Mo Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa