Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Live Tupo Eneo la Msibani nyumbani kwa Marehemu Kanumba Mamia ya watu wazidi kuingia eneo la msiba, Kuna foleni kubwa pia Mvua ni kubwa sana, Walio fika kwenye msiba wahamishiwa Vatican Cuty Hotel

Live Tupo Eneo la Msibani nyumbani kwa Marehemu Kanumba Mamia ya watu wazidi kuingia eneo la msiba, Kuna foleni kubwa pia Mvua ni kubwa sana, Walio fika kwenye msiba wahamishiwa Vatican Cuty Hotel

 Umati wa wanachi waliofika katika msiba huo muda huu

 Watu Mbali mbali wakiendelea kukusanyika eneo la Msiba Muda huu
 Simon Simelenga wa Clouds Fm akiwa ni mmoja wa wasanii wa Bongo Movie akifuatilia kwa umakini tukio eneo hilo
 Ukumbi wa Vatican City ambao watu wameombwa kuhamia huko kutokana na kwamba nyumba ya Marehemu ilikuwa ndogo 


 Wananchi Mbali Mbali wakiwa ukumbini Vatican City Hotel

 Ulinzi umeimalishwa vema eneo la Msiba
 Wananchi Mbali mbali wakiombwa kuhamia Vatican City 
 Wananchi wakiwa wanaelekea Vatican City Hotel


 Msongamano Mkubwa wa magari ulio sababisha kufungwa Bara bara kwa muda, Lakini Askari wa usalama Bara barani walifika hapo kusaidia 
 Mvua Kubwa imeanza kunyesha ambapo watu wengi walionekama kukimbia kwenda kujisitili maeneo mbali mbali
 Baadhi ya watu wakiwa wamejibanza kungojea mvua hiyo kupungua 

 Mvua kubwa ikiendelea  kunyesha eneo la tukio Muda si mrefu sana
Kuna watoto wengi pia hawa ni Baadhi yao ambao wamelowana na wako pembeni wakingoja mvua ipungue.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa