Home » » NAIBU WAZIRI WA SAYANSI NA MAWASILIANO AFUNGUA MKUTANO WA MAWASILIANO NCHI ZA (SAADC)

NAIBU WAZIRI WA SAYANSI NA MAWASILIANO AFUNGUA MKUTANO WA MAWASILIANO NCHI ZA (SAADC)


 Naibu Waziri wa Sayansi na  Mawasiliano Charles Kitwanga akifungua
mkutano wa mwaka wa 32 wa Umoja wa Taasisi za Mawasiliano KUsini mwa
Afrika unaofanyika kwa siku mbiliunaojadili mambo mbalimbali katika mawasiliano ya simu ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kidigitali, mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 14 za (SAADC) Zimbabwe, Namibia, Botswana, Malawi Msumbiji, Afrika Kusini Rethoto na Tanzania


 Naibu Waziri wa Sayansi na  Mawasiliano Charles Kitwanga akihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua rasmi mkutano huo.
 Naibu Waziri wa Sayansi na  Mawasiliano Charles Kitwanga katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano huo.
 Mkurugenzi mtendaji wa TTCL Shaban Mrisho akimkaribisha Naibu Waziri wa |Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga ili kufungua mkutano huo.
 wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SAADC wakiwa katika mkutano huo.
 wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SAADC wakiwa katika mkutano huo.
 wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SAADC wakiwa katika mkutano huo.
 wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SAADC wakiwa katika mkutano huo.
Picha zote na Full Shangwe Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa