Home » » REBECCA MALOPE KUTOKA AFRIKA KUSINI AWASILI, KUWASHA MOTO TAMASHA LA PASAKA JUMAPILI

REBECCA MALOPE KUTOKA AFRIKA KUSINI AWASILI, KUWASHA MOTO TAMASHA LA PASAKA JUMAPILI

 Mwanamuziki wa muziki wa Injili Rebecca Malope kutoka nchini Afrika ya Kusini akipunga mkono kwa mashabiki wake mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere leo jioni kwa ndege ya shirika la ndege la Afrika Kusini (SA) ,Kulia ni Raura Msama mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion, Mwimbaji wa muziki wa injili Upendo Kirahilo na mwimbaji kutoka Zambia Sekeledi.
 Mwanamuziki Rebecca Malope akiwa ameshikilia ua mara baada ya kupewa na mtoto wakati wa mapokezi ya mwimbaji huyo wa muziki wa injili katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion na.
 Rebecca Malope akielekea kupanda gari tayari kwa kuelekea hotelini alikofikia kulia ni Raura Msama mmoja wa wakurugenzi wa Msama Promotion na katikati ni Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.
 Mkurugenzi was Msama Promotion Alex Msama akimtambulisha mtoto wake kwa mwimbaji wa muziki wa injili Rebecca Malope ambaye naye anaitwa Rebecca
 Kutoka kushoto ni Mwimbaji Rebecca Malope, Alex Msama, Mimbaji Solomon Mkukubwa na Raura Msama.
 Mwimbaji wa muziki wa injili Rebecca Malope akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere leo jioni, kulia ni Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.
 Mwimbaji wa muziki wa injili Rebecca Malopeakipiga picha ya pamoja na Upendo Kirahilo kutoka kulia,Raura Msama, Solomon Mukubwa na Sekeledim kutoka Zambia.


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa