Home » » IBADA YA IJUMAA KUU KANISA KAYOLIKI SAINT JOSEPH LEO

IBADA YA IJUMAA KUU KANISA KAYOLIKI SAINT JOSEPH LEO

Padri Swai wa kanisa Katoliki  la Mtakatifu


Joseph jijini Dar es salaam akitoa mahubiri kwa waumini wa


kanisa hilo leo katika maadhimisho ya ibada ya Ijumaa kuu.
Mhe. John Tendwa Msajili wa vyama vya siasa akiwa kwenye ibada ya


Ijumaa kuu katika kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es


salaa katika maadhimisho ya siku tatu kuu za mateso kifo cha


Bwana wetu Yesu Kristo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
  Baadhi ya waumini waliohudhuria


kanisani hapo wakifutilia kwa umakini ibada ya Ijumaa kuu


iliyokuwa ikiendela kanisani hapo leo










0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa