Home » » Uzinduzi wa tamthilia ya 69 records season II wafana ndani ya Nyumbani Lounge jijini dar

Uzinduzi wa tamthilia ya 69 records season II wafana ndani ya Nyumbani Lounge jijini dar


Fungua taratiibu isije ikabust ohoooo...unaweza kweli wewee..! Ulifanyika puia ufunguzi wa shampeni.
Wasi Wasi Mwambulambo wa Clouds TV akiitambulisha sehemu ya crew iliyoifanikisha kwa kiasi kikubwa tamthilia ya 69 records season II,ambapo kwa maelezo ni kwamba tamthilia hiyo itakuwa ikirushwa Clouds TV pamoja na kwenye DSTV.
Wageni waalikwa wakiwemo wasanii mahiri wa filamu hapa nchini walifika kushuhudia uzinduzi huo uliokuwa wa kusisimua kwa kiasi kikubwa,uzinduzi huo ulidhaminiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Zantel
Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya H-Baba akitumbuiza kwenye hafla hiyo
Ilikuwa ni kushangweka tu ukumbini mara baada ya uzinduzi wa tamthilia hiyo iliyorekodiwa kwa ubora wa Kimataifa.
Wadau wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri ukumbini.
H-Baba live akikamua 
Msanii mwingine anayetikisa anga ya muziki wa Bongofleva,Ommy Dimpozz akiimba mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani) usiku huu.
Mmoja wa wasanii mahiri wa Filamu hapa nchini,ambaye binafsi namkubali sana,Jacob Steven a.k.a JB akitoa maneno machache ya kuisifia kazi nzima ya iliyofanywa ndani ya tamthilia ya 69 Recods season II.
Kwa Picha zaidi ingia hapa Jiachie Blog


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa