Home » » SOKO LA SAMAKI FERI LILIPOWAKA MOTO LEO ASUBUHI

SOKO LA SAMAKI FERI LILIPOWAKA MOTO LEO ASUBUHI






Soko la feri upande wa kukaangia samaki limeshika moto leo tarehe
4/4/2012 asubuhi katika muda wa saa nne (4) mpaka sita (6) nakulazimu
gari la zima moto yaani fire kuja kuuzima moto huo ambao ulikuwa
unaendelea kuzimwa na wananci wengi ambao  ni wachuuzi wa samaki sokoni
hapo. Hata hivyo haikujulikana ni hasara kiasi gani imesababishwa na moto huo na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa katikla tukio hilo










Moto ukiendelea kuunguza soko hilo leo asubuhi.
Picha na Hassan Mabuye

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa