Home » » Ujerumani Yaipa Tanzania Euro Milioni 176 Kwaajili Ya Maendeleo

Ujerumani Yaipa Tanzania Euro Milioni 176 Kwaajili Ya Maendeleo

Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki wa Ubalozi wa Ujerumani Dr. Ralph
Mohs kulia.wakisaini msaada wa EURO 176 million kutoka serikali ya
ujerumani kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hapa
nchini Tanzania.ulofanyika jana  katika ukumbi mikutano wa wizara hiyo
jijini Dar es salaam.
Katibu mkuu wa Wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki  wa Jumuiya ya Ulaya Dr Ralph
Mohs kulia.wakikabidhiana nyaraka za mkataba wa msaada huo.
Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria katika utiaji saini wa mkataba huo
Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah akiwa kwenye
picha ya pamoja na waakilishi wa Tanzania na Ujerumani

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa