Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Nyayo Za Mama inayojishugulisha
na sanaa ya uchoraji na kunakshi picha ya Nyayo Za Mama, Candida
Bahame (kushoto) akipongezana na Mkurugenzi Mtendaji wa

Ujamaa Art Gallery Lona Mashiba wakati wa ufunguzi wa maonesho ya
mauzo ya kazi z sanaa za Mama Bahame yanayoendelea katika Gallery hiyo
iliyopo Mbuyuni njia ya Mwenge (Picha na Evance Ng’ingo)

Mkurugenzi wa Ujamaa Art Gallery Lona Mashiba akizungumza na wageni
waliojitokeza wakati wa maonesho ya picha za Candida Bahame yanaoendelea
katika Ujamaa Art Gallery iliyopo eneo la Mbuyuni njia ya kuelekea Mwenge.

Na Mwandishi Wetu
WANAJAMII
wametakiwa kutumia kazi za sanaa za mikono za wasanii wa hapa nchini
katika kupamba nyumba zao ili kuongeza hamasa na maendeleo ya tasnia
hiyo hapa nchini.

Wito
huo ulitolewa juzi na Mdau wa sanaa za uchoraji Candida Bahame ambae ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Nyayo Za Mama wakati akizindua
maonesho ya wiki mbili ya kazi zake za sanaa.

Candida
alisema kuwa wasanii wa hapa nchini wanao uwezo wa kuchora na
kutengeneza picha kwa kutumia viashiria mbalimbali vya kisanii ambavyo
zinapendezesha nyumba.

Alisema
kuwa wanajamii wakiwa na utamaduni wa kununua kazi zao za sanaa na
kuzipamba majumbani kwao watakuwa kwa kiasi kikubwa wamesaidia kukua kwa
sanaakiwa kama mdau wa kazi za sanaa ya uchoraji hapa nchini.

Mimi naona kuwa muda umefika kwa hoteli zetu, ofisi na hata nyumba zetu
watu kutumia picha za wasanii wa hapa nchini katika kupamba nyumba zao
ili kuonesha kuwa wanathamini na kutambua sanaa zetu hapa nchini”
alisema Candida.

Akizungumzia sanaa yake hiyo ambayo alisema kuwa alianza tangia miaka ya 1980, Candida alisema kuwa gharama ya picha zake anazipanga kulingana na muda aliotumia kuzichora pamoja na umaridadi wa picha hizo.
Alisema kuwa anatumia
kipaji chake kufikisha ujumbe kwa njia ya maneno ambapo anatumia shanga
kushona maneno yenye ujumbe na pia anatumia shanga kutengenezea picha.Maonesho hayo ya wiki mbili yanaendelea katika Ujamaa Art Gallery.

0 comments:
Post a Comment