Home » » Ujumbe wa Serikali ya Mpito ya Libya wakutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam

Ujumbe wa Serikali ya Mpito ya Libya wakutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam









Ujumbe wa Serikali ya Taifa ya Mpito ya Libya, ukiongozwa na
Mheshimiwa Mahdi M Gaziri (watatu kushoto.), Mkuu wa Ofisi ya Mwenyekiti wa
Serikali hiyo,ukiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
Jakaya Mrisho Kikwete baada ya ujumbe huo kuwa  umekutana naye Ikulu, Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki iliyopita
Rais Dk Jakaya Kikwete akiagana na ujumbe huo Ikulu.
(Picha na Ikulu)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa